Back Home
Student Rules

Student Code of Conduct

Maximum total points is 50. A student who reaches 50 points will be expelled.

Minor: 1–4 points
Moderate: 5–9 points
Major: 10–20 points
13 pts

Kuchelewa kuja chuoni

Mwanafunzi anayechelewa kuja chuoni baada ya likizo

Onyo, huduma ya jamii, au kamati ya nidhamu.

25 pts

Kutohudhuria Chapel kabisa

Kukosa ibada bila sababu na idhini.

Kupoteza alama, suspension ya muda mfupi.

32 pts

Kutovaa Sare na Vitambulisho

Kutozingatia sare rasmi na kitambulisho.

Faini, kunyimwa huduma za chuo.

43 pts

Kuchelewa Darasani

Kuchelewa zaidi ya mara 3 mfululizo.

Onyo, kupoteza alama, suspension ya kozi.

54 pts

Kutozingatia Zamu

Kushindwa kushika jukumu la usafi/upishi

Zamu ya nyongeza, faini, kamati ya nidhamu.

63 pts

Kukaidi Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi

Kukataa maagizo halali ya viongozi.

Onyo la maneno/maandishi, hatua za chuo.

76 pts

Utovu wa Heshima kwa Waalimu/Viongozi

Maneno ya dharau au ukaidi.

Onyo kali, huduma ya jamii, kamati ya nidhamu.

820 pts

Ulevi/Dawa za Kulevya

Pombe, bangi, au dawa za kulevya.

Suspension ndefu au kufukuzwa.

97 pts

Uongo na Udanganyifu

Kuwasilisha taarifa za uongo.

Onyo kali, kupoteza haki ya uongozi.

1015 pts

Udanganyifu kwenye Mitihani

Kutumia visaidizi vya kupata majibu/vikaratasi/simu nk

Matokeo kufutwa, suspension, expulsion.

1112 pts

Mapigano/Vurugu

Kupigana au kusababisha fujo.

Suspension, polisi, expulsion.

128 pts

Uharibifu wa Mali ya Chuo

Kuharibu mali kwa makusudi/uzembe.

Fidia, huduma ya jamii, hatua zaidi.

1310 pts

Mahusiano Yasiyofaa

Tabia za kimapenzi zisizofaa chuoni.

Onyo, suspension, expulsion.

144 pts

Kukwepa Vipindi/Ibada

Udanganyifu kukwepa masomo/ibada.

Kupoteza alama, suspension.

153 pts

Uvaaji Usiofaa

Mavazi ya fedheha/yasiyostahili.

Onyo, kurudishwa nyumbani, hatua za nidhamu.

167 pts

Utoro wa Masomo

Kutoroka darasa bila sababu ya msingi.

Onyo, kupoteza haki ya mitihani, suspension.

174 pts

Uzembe kwenye Kazi za Kijamii

Kukataa kushiriki kazi za pamoja.

Kazi ya ziada, faini, kamati ya nidhamu.

185 pts

Utoaji wa Lugha Chafu

Kutukana au kuzungumza maneno machafu.

Onyo, huduma ya jamii, hatua kali zaidi.

196 pts

Umbea/Fitina

Kusambaza uvumi au kugombanisha watu

Onyo kali, kupoteza nafasi ya uongozi.

208 pts

Kutoroka/Kutolala Chuoni bila Ruhusa

Kuondoka bila ruhusa ya uongozi.

Onyo, suspension, hatua kali zaidi.

Maximum Total Points: 50

A student who reaches 50 points will be expelled.